Numbers 23:8


8 aNitawezaje kuwalaani,
hao ambao Mungu hajawalaani?
Nitawezaje kuwashutumu
hao ambao Bwana hakuwashutumu?
Copyright information for SwhKC